Huba
160
Tamthilia
16
Main
VIDEOS
HABARI
PICHA
Mahaba yamechacha! – HUBA
Video
24 Aprili
Jude anaenda kumwomba babake Ruki fursa ya kufunga ndoa, huku Batuli [Kibibi] akiwa katika starehe na Mzee Ngote baharini. Roy amejitia kabisa katika Maisha ya Nandi na ulimwengu wa Sanaa! Usikose #HUBATZ
Stream on Showmax
Up Next
" Chidi, tusizoeane!" — Huba
17 Aprili
Je Tesa ana ubinafsi? — Huba
10 Aprili
Madam Sandra apoteza kila kitu — Sarafu
01 Aprili
"Mimi sikuogopi" — Huba
27 Machi
"Leo naamini unanipenda" — Sarafu
26 Machi
"Unikabidhi moyo wako" — Sarafu
18 Machi
Maudhui Yanayohusiana
Video
Nenda kawafikishie habari hao waliokutuma! - Huba
Abby apata taarifa kuhusu vifo vya wazazi wake wakati Roy amwambia Kibibi amuachishe kazi Tesa.
Video
Nelly arudi nyumbani – Huba
Nelly arudi nyumbani na Kibibi amtaka Monica arudi na Nicole hana muda na Devi.
Video
Chidi aonywa – Huba
Kibibi amuonya Chidi vikali kuhusu Tesa nae Roy afuatilia kesi ya Devi ajali ya Devi
Video
Utavuna ulivyopanda! - Huba
Tima apigana tena Happy baada ya kumuita muuaji. Tesa amwambia Fabrizio asimfuatilia.