Huba
160
Tamthilia
16
Main
VIDEOS
HABARI
PICHA
Angalia
Video
Nenda kawafikishie habari hao waliokutuma! - Huba
Abby apata taarifa kuhusu vifo vya wazazi wake wakati Roy amwambia Kibibi amuachishe kazi Tesa.
Video
Nelly arudi nyumbani – Huba
Nelly arudi nyumbani na Kibibi amtaka Monica arudi na Nicole hana muda na Devi.
Video
Utavuna ulivyopanda! - Huba
Tima apigana tena Happy baada ya kumuita muuaji. Tesa amwambia Fabrizio asimfuatilia.
Video
Tima akataa msahada- Huba
Happy na Sidi wataka Tima awe na maani baada ya Devi kurudi.
Video
Chidi aonywa – Huba
Kibibi amuonya Chidi vikali kuhusu Tesa nae Roy afuatilia kesi ya Devi ajali ya Devi
Video
Moto umewaka ofisini! - Jua Kali
Sophia amwambia mama yake kuhusu Semeni na Peter, na Regina amuonya Thomas.
Video
Devi arudi- Huba
Devi aja kwa mshituko kwa watu, na Kibibi amuweka sawa Tesa.
Video
Mtoto wangu yupo wapi? - Huba
Jude adai motto wake kwa Nicole na Chidi amwambia Tesa aah e kazi ya bar.
Video
Nicole aanza mahusiano mapya ya kibiashara- Huba
Happy amzawadia mtoto wa Tima nguo na hilo jambo lamkasirisha sana Tima. Nicole aanza mahusiano mapya ya kikazi wakati Kibibi akiwa anamuangalia.
Video
Abby adai kurudi nyumbani kwake - Huba
Abby ataka kurudu nyumbani wake na Nelly lakini Nelly hataki.
Video
“Usiwe na haraka ya kuwasha moto!” - Huba
Nicole amuonya Devi awe na subira.
Video
Chunga mkataba! - Huba
Wanaume wote waishia jela baada ya shughuli na Jude na Roy wapigana, wakati Jude amuonya Kibibi juu ya mkataba wao.
Video
“Unanilaumu kwa lipi?” - Huba
Jb anashida na Abby wakati Sidi na Tima aendelea na maongezi, na shughuli ya Kibibi stanza.
Video
” Tatizo ni mume wako” - Huba
Nelly atoa taarifa kuhusu Fei, na Fei amwambia Nelly kuhusu utapeli wa mume wake.
Video
Wewe mtu gani, usiyekuwa na utu?” - Huba
Tima amlilia Sidi juu ya kuchoka na maisha yake, na Kashaulo akasirika baada ya kuulizia Tesa.
Video
Hali ya Tesa vipi? – Huba
Sada ampa Tima barua ya Tishi toka shuleni. Jude atakamjulia Tesa hali.
Video
Bi Sikitu atoa alana kwa Doris - Huba
Bi Sikitu ampa laana Doris, wakati Nelly aja kumuokoa dada yake.
Video
Tesa ajaribu kumuua Chidi – Huba
Majini yaja kwa kumuonya Jb wakati Tesa ajaribu kumuua Chidi.
Video
“Ni nini kinamsumbua?“- Huba
Jude na Bi Sikitu wat aka kujua ni nini kinamsumbua Doris. Chidik abaki kumuangaliv Mzee Kashaulo.
Video
Jude atiwa jela tena! - Huba
Jude awekwa jela baada ya kukamatwa na Bibi afanya mpango wa meneja mpya.
Video
Ofa yatolewa! - Huba
Kibibi hataki kuongea dili zake mbele ya Chidi. Jude amshukuru Doris.
Video
Majini yarudi- Huba
JB ataka kujua Fei alikuwa na nani kabla ya kuzimia na making ya mrudia. Wakati Doris auza nyumba.
Video
Fei aishia hospitalini- Huba
Abby na Nelly waenda kumtafuta Fei baada ya kupotea na Fei aishia hospitali.
Video
Bi Sikitu hataki wageni! - Huba
Bi Sikitu amuonya Doris kutoruhusu wageni. Wakati Fabrizio ataka Monica aachane na ishu ya Sada
Onyesha Zaidi
24 ya 244