Huba
160
Tamthilia
16
Main
VIDEOS
HABARI
PICHA
"Mimi sikuogopi" — Huba
Video
27 Machi
Tesa na Doris uso kwa uso. Kibibi apata changamoto ya mwaka halafu Davy amualika Tima kwa mamake Tesa.
Stream on Showmax
Up Next
"Leo naamini unanipenda" — Sarafu
26 Machi
"Unikabidhi moyo wako" — Sarafu
18 Machi
Tima amefika ukingoni — Huba
13 Machi
"Hali ya mama sio nzuri"— Sarafu
12 Machi
Carlos amsaliti Sidi — Huba
09 Machi
Janet amchapa Brenda — Sarafu
04 Machi
Maudhui Yanayohusiana
Video
Kibibi ahojiwa na mapolisi – Huba
Devi apata kesi baada ya kujaribu kujiua na Tima anawasiwasi kwamba nia yake ilikuwa kukutana na Jude. Doris amuonya oy kuachana na Devi wakati Yakub bado hapatikani. Tesa aanza kupata wasiwasi na JB na mapolisi wamfuata Kibibi.
Video
Devi aanzisha vita tena kwa Kibibi– Huba
Jude adai kuzungumza kutusu mtoto aliyempoteza Tima. Tesa amwambia adiar kwenda kwa Kibibi na Nelly. Jb ajiunga na kazi kwenye shamaba ya la Yakubu. Fabrizio aja kwa Happy kumtafuta Sada.
Video
Nelly bado anamtaka Devi– Huba
Nelly bado amelewa na Tesa amwambia Nelly aende kwa Devi. Wakati Roy akasirika juu ya Doris kutomsikiliza na Doris arudi kwa mizimu. Tesa afika kwa Devi na Tima kuvuruga mambo wakati Kibibi ampeleka shangazi jela.
Video
Simu iko wapi?– Huba
Nandy aenda kwa Roy juu ya mawazo ya Doris, wakati Tima aenda kuomba biashara ya Jude ifunguliwe. Simu ya Devi ya potea na Fabrizo amfuata Nelly kujua iko wapi. Hatimaye, Kibibi aja kwa Tesa juu ya pesa yake