Doli Armaanon Ki
160
Drama
PG13
Vipindi Vyote
Video
Video
Video
Asiesikie la mkuu huvunjika guu - Huba
Mama poa, amkanya mwanae tima atulie na afate maelekezo anayopewa.
Video
Asiesikie la mkuu huvunjika guu - Huba
Mama poa, amkanya mwanae tima atulie na afate maelekezo anayopewa.
Video
Femi kabananishwa! – Jua Kali
Kweli Femi anafanya yote haya kukoleza penzi la Luca na Judith? Mambo ni paaambe, nyama ziko chini!
Video
Mke wa Kiza akimbizwa hospital - Upepo
Akiwa katikati ya mahojiano ya mtuhumiwa Kiza anapokea simu kuwa mke wake anaumwa na amekimbizwa hospital.
Video
Nani amekunywa pombe zangu - Huba
Tajiri akasirishwa na Mussa kuwapa kina JB pombe zake wanywe, kitendo kimempa hasira sana.
Video
Nguzo mikomoni mwa Kiza - Upepo
Upepo bado unaendelea kuvuma wakati upelelezi ukiendelea juu ya wapi alipo fiona, na Kiza sasa anamkamata Nguzo ili apate kumsaidia kwenye kesi.
Video
Umekuja ofisini kwangu kufanyaje? - Jacobs Daughter
Caroline akasirishwa na kitendo cha bwana wake kumfata kazini kumpongeza kwa kupandishwa cheo.
Video
Vita ya Tajiri na JB - Huba
Tajiri na JB watunishiana misuli kwenye meza ya chakula, unadhani nani ataibuka kidedea kwenye vita hii?
Onyesha Zaidi
8 ya 1465