Urmi ni binti mrembo anayeolewa na Samrat. Ndoa yake inakuwa jaribio kubwa sana kwake kwa sababu ya ukatili wa mume wake. Je ndoa yake itadumu?