Logo
channel logo dark

Danga

160Drama16

Watazamaji wa #MaishaMagicBongo washerekea vipindi vipya

Habari
07 Decemba 2021
Danga na La Familia vilianza ndani ya Dstv chaneli 160 mwezi tarehe 15 November.
Untitled design (9)

Mwezi huu tunakutambulisha kwenye vipindi vipya ndani ya #MaishaMagicBongo. Cha kwanza ni Danga, kipindi hiki kinahusu wakina dada wawili, Pili na Angel pamoja na Rafiki yao Mo. Kwa pamoja wanafanya fanya kazi ya kuwadhurumu wakina baba matajiri mjini Dar es Salaam.

Kipindi kingine kipya ni La Familia, kipindi hiki kinahusu familia ya Bwana Ibrahim na mume wake. Familia hii ni Tajiri sana na ina watoto watano, wasichana watatu na wavula wawili. Migororo yaanza ndani ya familia baada ya baba wa familia kumkabidhi mtoto wa kwanza wa kiume biarashara ya kifamilia wakati dada yake ndiye alikuwa anastahiri nafasi hii.

Kati ya hivi vipindi hivi ni kipi kinakuburudisha Zaidi 

Untitled design (6)
Kipindi gani kipya umeburudika nacho zaidi?

Kipindi gani kipya kinakuburudisha zaidi? Piga kura yako hapo chini

La Familia63%
Danga37%

Angalia ni nini watazamaji wetu wa #MaishaMagicBongo wanasema kuhusu #MMBDanga na #MMBPazia

Usikose kufuatilia tamthilia ya #MMBDanga kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1:30 usiku ukifuatilia na La Familia kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 4 usiku ndani ya Chaneli 160!