Logo
Danga S1 SP Billboard
channel logo dark

Danga

160Drama16

muhula

4

3

1

Screenshot 2021 11 24 at 20

KUHUSU KIPINDI

Danga inahusu wadada watatu, Pipi, Angel na Mo, walio kuja mjini kutafuta maisha mazuri kwa njia ya kudhurumu wanaume.

S1 | E13
19 Decemba 16:00
'S1/E13 of 13'. Pipi, Angel na Mo ,wadada wa mjini wanafanya juu chini kuhakikisha wanamlaghai Mark tajiri mkubwa mjini.
Untitled design (6)
Kipindi gani kipya umeburudika nacho zaidi?

Kipindi gani kipya kinakuburudisha zaidi? Piga kura yako hapo chini

La Familia63%
Danga37%

Mengine Zaidi

 Vipindi vinavyoanza na kuisha ndani ya Maisha Magic Bongo mwezi huu

News
04 Novemba 2021
Mwezi huu kuna mambo mapya ndani ya DStv chaneli 160
1

Tunanza mwezi wa Novemba na mabadiriko mapya. Pazia itaisha tarehe 10 Novemba badala yake kipindi kipya cha Danga kitaanza tarehe 15 Novemba saa 1:30 usiku. Acha tukusahidie ili ujueni nini utakacho kitegemea ndani ya vipindi hivi wiki hii

Mwisho wa Pazia (Tarehe 10 Novemba, saa 1:30 usiku)

Swali kubwa tangu mwanzo wa Pazia lilikuwa, “ni nani baba yake Regina?”. Baada ya Mariam kurudi bado hajasema kwa uhakika ni nani baba yake Regina kati ya Mdoe na Henry.

Mwanzo wa Danga (Tarehe 15 Novemba, saa 1:30 usiku)

Bwana Idris Sultan, mtu maharufuu sana Tanzania ajiunga na Maisha Magic Bongo kukuletea kipindi kipya cha Danga. Kipindi hiki kinahusu wadada wa mjini; Pipi, Angel na Mo wanaofanya juu chini kuhakikisha wanamlaghai Mark tajiri mkubwa mjini.

Mwanzo wa La Familia (Tarehe 15 Novemba, saa 4 usiku)

Kipindi cha La Familia kinahusu Bwana Ibrahim na familia yake ya mke na watoto watano. Maamuzi ya Mzee Ibrahim ya kugawa mali zake yanaleta uhasama mkubwa katika familia, akijaribu kuweka mambo sawa, anazidi kuyavuruga.

Showing
Ni kipindi gani kipya cha Novemba unahamu nacho?

Tuambie ni kipindi gani unahamu nacho? Piga kura yako hapo chini

La Familia41%
Danga59%

Tuambie ni kipindi gani unahamu nacho

 

 

 

Danga

Video
09 Novemba

Pipi, Angel na Mo ,wadada wa mjini wanafanya juu chini kuhakikisha wanamlaghai Mark tajiri mkubwa mjini.