Mambo yamekolea kwenye Mpali! Hambe anapaniki baada ya Phil kutangaza kuwa wote waliohusika kwenye wizi wa benki wataishia jela
Wakati huo huo, Mzee Nguvu anakaa kikao kizito na wake zake — hali ni ya mvutano, mashtaka, na siri mpya zinazotishia kuvunja ndoa hizi za kifahari!