Mambo yanazidi kupamba moto!
Kamishna anapata ushahidi unaowahusisha Zulu Brothers na tukio la kumtorosha mfungwa jela
Wakati huo huo, Mqhele na mkewe Mahlomu wanafanya tambiko zito kutuliza mizimu ya familia
Je, tambiko hili litazaa amani au kuzua maafa mapya?