channel logo dark
channel logo dark

Mpali

160Drama16

Hekaheka Zarejea kwa Nguzu – Mpali

Video17 Oktoba

Drama hazijaisha kwenye familia ya Nguzu! Lindiwe na Tombi wanajadili kwa hasira kuhusu Shupiwe kupewa hela za Mzee Nguzu Wakati huo huo, Frank naye anaonekana akitoroka kwa siri! Je, pesa hizi ndizo chanzo cha mgogoro mpya?