Maharusi wetu , Juma na Husna walikutana katika Maulidi na baada ya muda walikutana tena Bagamoyo ! mmh ule msemo kama ipo ipo tu, kama yako basi itakutafuta hakika limetimia kwa maharusi wetu … ungana nasi Alhamisi hii saa 1 Usiku kupitia DStv160 pekee!