#HarusiYetuTZ , maharusi wetu wa leo Lazaro na Leah walikutana kanisani. Hapo mwanzo Lazaro alikuwa hana mapenzi ya dhati kwa Leah.Lakini kwa kipindi cha miezi saba hali ikabadilika.Je ni nini alichofanya kudhibitisha kuwaanayo mapenzi ya dhati kwa Leah? Fanya kuungana nasi leo Alhamisi saa 1 usiku kupitia Dstv160 pekee