channel logo dark
Shilawadu Small billboard
channel logo dark

Shilawadu Xtra

160VarietyPG13

Harusi ya Joan na Allan – Harusi Yetu

Video10 Agosti

Maharusi wetu wiki hii ni Joan na Allan, wawili hawa walikutana katika mazingira ya kazi, Allan akiwa ni tarainee na Joan akiwa tayari kaajiriwa, maneno kazini yalikuwepo ya kutosha lakini hayakumvunja moto Allan, je ni mbinu gani alizitumia ili kuuteka moyo wa Joan? Tupatane kila Jumatatu-Ijumaa saa 3 Usiku na marudio jumamosi saa 10 kupitia DStv 160 usikose!!