channel logo dark
Shilawadu Small billboard
channel logo dark

Shilawadu Xtra

160VarietyPG13

Ushauri wa Rafiki- Harusi Yetu

Video19 Septemba

Unashauriwa kuoa au kuolewa na rafiki yako! Maharusi wetu #Hellen na #Martin Walikutana katika chou kikuu cha Dar-Es-salaam mwaka wa 2012. Bi harusi katoka Moshi kuja Dar kusoma, mahusiano yao yalipata pigo baada ya Martin kupata mtoto na mwanamke mwingine, Je ni nini na yapi walipitia mbaka hatimaye wakafunga ndoa? tukutane kila Alhamisi saa 1 Usiku kupitia DStv 160!