channel logo dark
Shilawadu Small billboard
channel logo dark

Shilawadu Xtra

160VarietyPG13

Harusi ya Raymond na Grace – Harusi Yetu

Video31 Oktoba

#Harusi Yetu , wiki hii Raymond na Grace. Walipokutana Raymond alikuwa mfanyakazi huku Grace bado alikuwa mwanafunzi, je alingoja miaka mingapi? Na je ni nini Raymond na Grace ilibidi wavumilie? Tukutane kila Alhamisi saa 1 usiku kupitia DStv160 pekee!