Logo

Mbura ametoweka – Pete

Video
06 January

Mbura hajulikani kule aliko baada ya kugundua kwamba yeye sio damu ya Dalu. Kwingineko, Bi. Mose na Binti Zamzam wanaendelea kupigania haki yaki ya kumpikia Mfalme Zurui chakula.