Logo

‘’Mizimu Imekasirika’’ — Pete

Video
19 May

Wakaaji wa Funzi wanaugua maradhi yasiyojulikana huku Mbura akiongoza kwa dhulumu. Mapenzi ya Safira na Jasiri yanazidi kuongezeka lakini yanaleta madhara kwa wanaowazunguka.