Logo

"Jasiri, unanipenda?— Pete

Video
12 February

Safira anamtembelea Jasiri na kutaka kujua msimamo wake. Kiza anapandishwa cheo. Jasiri anafungua timbo na Mbura anamrisha awekwe chini ya ulinzi nyumbani mwake.