Logo

"Heshimu ndoa yangu" — Pete

Video
11 March

Karembo bado anaendelea kumtongoza Mbura lakini anamwambia aheshimu ndoa yake. Jasiri atoka mafichoni na kukutana na Nuru na Mbura ameamua kuwa mume anayejali.