Mwana Siasa na familia yake wanaangamizwa mmoja kwa mmoja. Polisi wanafanya upelelezi kuhusu mauaji haya bila kufaulu. Je watapata mafanikio? Tazama Bongo movie ya leo,
saa 19:30 za usiku hapa Maisha Magic Bongo!
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za
facebook,
Twitter na WeChat.