channel logo dark
Wa Milele SP Billboard
channel logo dark

Wa Milele

160Reality16

muhula

Wa Milele Potrait

Safari ya Mapenzi

Wa Milele ni reality show ya kipekee inayochunguza safari ya mapenzi ya wanandoa na wachumba wanaopitia changamoto, mitihani na furaha ya maisha ya pamoja. 
Kupitia majaribu ya kila siku, watalazimika kuthibitisha kama upendo wao unaweza kweli kudumu milele
 

S1 | E10
12 Januari 15:00
'S1/E10'. Wanandoa wenye migogoro wanaingia kwenye jumba, wakiongozwa na mtaalamu mashuhuri kuanza safari ya kusuluhisha...

Vipindi Zaidi