maisha magic bongo logo

Siri za Jivu Zafumuka – JIVU

Video11 Oktoba

Fahad na mkewe Razia wanakutana hospitalini kujadili kuhusu ujauzito unaozua maswali mengi. Wakati huo, Bi Barke na Zingizi wanajikuta katikati ya tafrani—mpaka Barke anamfyatulia mtu risasi! Lakini msukosuko hauishii hapo… Chema anapata mshtuko mkubwa kutokana na hali ya ugonjwa wa mumewe Amanzi, na Mchuma anajitokeza kumpa msaada.