channel logo dark
JNM small new
channel logo dark

Jikoni Na Marion

160Cooking ShowsPG13

Safari ya ndoa ya Fibian na Getrude-Harusi Yetu

Video26 Septemba

Maharusi wetu wiki hii ni Fibian na Getrude. Walikutana katika mazingira ya mihangaiko.Fibian alipomuona Getrude akamuomba nambari ya simu ili wahafamiane vizuri. Je mbinu gani ambazo Fibian alitumia kumsawishi Getrude hadi wakafunga ndoa?