Robert anahama- Kapuni
Video
21 Julai
Wiki hii kwenye #kapuni, Robert Robert ameamua kuondoka kukaa mbali kabisa na familia ya Brown, Je Koku atabadilika?#KAPUNITZ kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku kupitia Dstv 160 Pekee! Usikose! https://bit.ly/2VBPDIy
Jisajili kuangalia
Up Next
Kifo cha Koku- Kapuni
20 Julai
Balaa kwa ndoa-Huba
18 Julai
Ndoa inwaka moto- Huba
17 Julai
Msiba wa ajabu- Kapuni
13 Julai
Visa na Vituko vya familia- Huba
12 Julai
Upelelzi wa Caren- Rebeca
11 Julai
Maudhui Yanayohusiana
Video
I'm the champion – Divas & Hustlas
Chino apanga party bomba kabisa, anawaalika wenzake akisema hajamzuia yeyote kula nyama. Pia wiki hii wenzake, wakiwemo Zee Cuty wamuandama Chino kuhusu kununua mbuzi bila vinywaji.
Video
Mwali itaanza 29 Oktoba ndani ya Maisha Magic Bongo!
Tamaduni zetu zitukuzwe na #Mwali wetu atatoka kimasomaso na heka heka kama hivi. Save the date Oktoba29 saa 3 usiku, katika kijiwe pekee cha burudani Tanzania.
Video
Manka anampango! – Yalaiti
Tanasha apewa faraja na marafiki zake kwamba awe mvumilivu na atapata mume. Tika hataki kukaa kwenye sherehe ya Remmy. Remmy afumwa na mke wake akiwa anaongea na Stella na Manka apanga marafiki zake wamlete Stella kwake.
Video
Dhohar kuanza tarehe 28 Oktoba - Maisha Magic Bongo
Jiunge nasi kwa mwanzo wa Dhohar, Jumamosi tarehe 28 Oktoba ndani ya DStv chaneli 160!