Drama yazidi kupamba moto ndani ya JIVU! Fahad anamkaba Razia baada ya kugundua kipimo cha ujauzito chumbani kwao — kwa nini hakumwambia kama ana mimba? Wakati huo huo, Sikujua anamfungukia mpenzi wake Mchuma kuhusu tukio la kubakwa lililompelekea kupata ujauzito. Je, ukweli huu mzito utavunja uhusiano na familia nzima, au kufungua mlango wa maafa makubwa zaidi? Usikose JIVU kwenye Maisha Magic Bongo!
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ