Nandy arudi – Huba
Video
25 Novemba
Nandy arudi na mtoto wake na afikia kijijini. Kibibi aamua kumuomba Devi msamaha na amuomba abaki nae. Doris na Bi Sikitu waishia kugombana wakati Roy akiwa anasikiliza.
Jisajili kuangalia
Up Next
Ndoa ya saba – Kitimtim
15 Novemba
Semindu apigana na Chifu Kandamsile – Mwali
13 Novemba
“Usilazimishe vitu”– Huba
11 Novemba
Mabaya ya tokea Afrika Kusini– Jua Kali
06 Novemba
Kitundu azamia Afrika Kusini– Jua Kali
01 Novemba
Mama Tanasha achoma moto gari ya mwanae– Yalaiti
28 Oktoba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Harusi ya Devi na Nelly–Huba
JB amwambia Devi kwamba furaha ya Nelly inakuja kabla ya furaha ya mtu yoyote mwingine. Kashaulo aingilia harusi ya Nelly na Devi. Devi agombana na mama yake. Nandy arid nyumbani kumkuta Doris.
Video
Huyu ndiye Mdudu?– Pazia
Mdoe amuonya Chamsia juu ya barua yake na Dudu arudi kijijini na wana vijiji wadai kumuona.
Habari
Bahati mbaya zinazoweza kutokea ndani ya Harusi ya Nelly na Devi! – Huba
Harusi za Devi zinatokea na kasheshe nyingi, je ni bahati mbaya gani itamkumba akimuoa Nelly?
Video
Doris apata wasiwasi –Huba
Jude amwambia Chidi kwamba amuhimize Happy kupata hela kwa JB. Devi Adam watt wake kwa Tima. Doris na Bi Sikitu wagombana wakati Doris ataka kuondoka kijijini. Ruby amlazimisha Kibibi na Devi kusaini talaka.