channel logo dark
JNM small new
channel logo dark

Jikoni Na Marion

160Cooking ShowsPG13

Mwanamke ajidhamini - Mizani Ya Ushambenga

Video03 Julai

Vya nyumbani vitamu, na watu wetu wa nguvu Marima wa Migomba na Dr. Kumbuka wapo tayari kukupa uhondo wa aina yake wapo tayari kutema mawaidha ya aina yake kaa mkao wa kula sasa kila Jumatano saa 1 Usiku kipindi ni #MIZANIYAUSHAMBENGA ndani ya DStv160 pekee usikose.