Fahad na Razia wanaingia kwenye malumbano makali .
Lakini hawajui kuwa mwanao yuko mlangoni… akiyasikia yote na kuumia kimya kimya .
Kilio cha familia kinaanza kuacha alama kwa mtoto — na hali hii inaweza kubadilisha kabisa mustakabali wao.
JIVU linaendelea kugusa hisia kwa namna ya kipekee… kila tukio linaacha maumivu na maswali mapya .