Tesa ndiyo mama mwenye nyumba –HubaMganga ataka kulala na Tima kabla ya kumtibu Kashaulo. Tesa agombana na Roy juu ya yeye kumfuatilia Devi. Kashaulo akuta na deni na Devi amunya Roy kuhusu Tesa. Kibibi aja kuwatembelea Nelly na JB na awaletea zawadi.