channel logo dark
channel logo dark

Upepo

160TamthiliaPG13

Makanza Watangaza Donge Nono – Upepo

Video23 Decemba

Familia ya Makanza inaingia mbele ya wanahabari na kutangaza donge nono la milioni 60 Lengo ni moja tu — kumpata Fiona, haijalishi kwa gharama gani. Kauli zao zinaacha nchi nzima midomo wazi, huku matumaini na presha vikiongezeka kwa familia Je, donge hili nono litaleta majibu… au litazidisha sintofahamu?