Logo

Eliza agundua ukweli kati ya Gloria na Henry – Pazia

Video
21 Aprili

Regina yuko hospitali na amwambia Brenda kwamba ni bora afe. Miriam apelekwa jela na akataa kuomba msamaha. Eliza agundua kwamba Gloria alikuwa na magusiano na Henry na Henry awakana wote wawili. Wakati muda wote Eliza ndiye aliyefanya Miriam afungwe. Dk Love apata mgeni na Bidu anataka mke wake.