Huba
160
Tamthilia
16
Main
VIDEOS
HABARI
PICHA
Devi aanza kumzoea Nelly – Huba
Video
17 Septemba
Devi ajaribu kujisimamia kwa Kibibi na Kibibi akasirika zaidi. Tima amkuta Devi na Nelly wakiwa karibu sana na Bi Sikitu amuonya Doris kwamba atamvurugia harusi yake.
Stream on Showmax
Up Next
Gloria azusha vurugu tena – Pazia
15 Septemba
Cosmas amutembelea Rose – Sinia
12 Septemba
Maria na Frank waingia ndani ya mahusiano l– Jua Kali
10 Septemba
Tesa amtembelea Kibibi– Huba
03 Septemba
Bwana Mdoe arudi – Pazia
01 Septemba
Leila aomba msamaha – Sinia
29 Agosti
Maudhui Yanayohusiana
Video
Bi Sikitu atoa alana kwa Doris - Huba
Bi Sikitu ampa laana Doris, wakati Nelly aja kumuokoa dada yake.
Video
” Tatizo ni mume wako” - Huba
Nelly atoa taarifa kuhusu Fei, na Fei amwambia Nelly kuhusu utapeli wa mume wake.
Video
Huba la Monica na Fabrizio – Huba
Monica aanza mahusiano na Fabrizio. Tesa amuonya Kibibi juu ya kumfuatilia Devi.
Video
Harusi ya Nelly na Abby – Huba
Nelly afunga ndoa lakini mabaya yatokea baada ya mtu kuuliwa ndani ya sehemu ya sherehe.