Harusi bado inaendelea –HubaNicole atoa tarifa kwamba Kibibi ametoka jela na Chidi amuaga Happy kwenda safarini. Jude amlazimisha Tima kukaa ndani, takati Chidi adam Kibibi kumrudishia kazi Tima. Tima naye aamua kumtongoza JB na Tesa amlazimisha Devi kuendelea na harusi.