Karibu kwenye #TheMommyClubTz: wanawake 5 mashuhuri wa Tanzania wakifungua milango ya maisha yao bila filters. Changamoto za ndoa, presha ya umaarufu, kulea watoto, urafiki, machozi na vicheko β yote yapo hapa.
Hii ni simulizi za wanawake halisi, maamuzi magumu, na nguvu ya mama wa Kitanzania.
TheMommyClubTanzania #RealityYaKweli #MamaMashuhuri #MomLifeTanzania