channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Ni kweli Doris ana ujauzito? - Huba

Habari28 Agosti 2021
Kabla Roy kumwabia Doris mpango wake wa kurudiana na Nandy, Doris apata habari kwamba ana ujauzito.
Screenshot 2021 08 16 at 14

Doris yupo tayari kufanya lolote kumpata Roy lakini moyo wa Roy upo kwa Nandy. Baada ya miezi mingi ya kutumia nguvu za giza kumpata Roy, Doris hakufanikiwa. Lakini inaonekana kwamba Doris ni mjamzito na anahisi kwamba hali hii itamfanya Roy asiende kwa Nandy.

Je unafikiri kwa Doris kweli ni mjamzito? Na kama anahuo ujauzito, unafikiri ni wa Roy? Piga kura yako hapo chini

Screenshot 2021 08 16 at 14
Ni kweli Doris ana ujauzito wa Roy? - Huba

Je unadhani ni kweli Doris amebeba ujauzito wa Roy? Piga kura yako hapa

Hapana, hana mimba64%
Ndiyo, kweli ana mimba ya Roy20%
Ndiyo, ana mimba lakini sio ya Roy16%

Usikose kuangalia #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku ndani ya Maisha Magic Bongo!