Logo
channel logo dark

Slay Queen

160Tamthilia16

Evelyne aanza upya - Slay Queen

Habari
19 Novemba 2020
Baada ya kifo cha mama yake Evelyn, alienda Ulaya kusoma lakini alirudi Tanzania na ku kuta familia yake imetawanyika, aliamuwa kuanza kujitegemea.
20201119 104116

Evelyne kama mtoto wa mwisho ndani ya familia ya Kasongo amezoea kudeka sana. Toka kwa mama yake, baba yakena kaka yakemkubwa Derrick. Mambo yalianza kumuaribikia Evelyne alivyo gundua kama rafiki yake wa karibu sana, Julieth, alikuwa anatembea na baba yake. Evelyne na Julieth walikuwa marafiki sana mpaka mtu anaweza kufikiri ni mtu na dada yake.

Walikutana chuoni na Evelyn akamchukua kama ndugu na kumsahidia wakati Julieth alivyokuwa kwenye kipindi kigumu ndani ya familia yake.

Evelyne alimtafutia kazi kwenye kampuni ya familia ya kena Julieth alivyofika kwenye cheo kikubwa akaanza kusahau wema Evelyne alivyomfanyia.

Swala la mwisho lilimfanya Evelyne akose hamu na Julieth kabisa, lilikuwa kifo cha mama yake Evelyne. Mpaka sasa hivi familia ya Mzee Kasongo ina amini kwamba Julieth alikuwa chanzo cha kifo cha mama yao. Hivyo ni kwa sababu, mama Kasongo alivyojifunza kwamba Mzee Kasongo ana mahusiano na Julieth alipata mshituko wa moyo na kufariki.

Tukio hilo lilitenganyisha familia ya Mzee Kasongo sana na kusababisha watoto wake kumtenga. Lakini pia,lilileta ukaribu kati ya Evelyn a kaka yake. Huou karibu uliishasiku Derrick alipomwacha Agnes kwa mara ya pili na kutia familia yake kwenye aibu. Evelyne akaapa kuachana nae na kumkana kama kaka yake.

Sasahivi Evelyne amepata kazi mpya kwenye kampuni ambayo ni pinzani na kampuni ya familia yake ya #ForConnect.

Je atawezakuanzaupya peke yake? Usikose kuangalia #SlayQueenTZ kilaJumatano mpaka Ijumaa saa 3:30 usiku ndani ya Maisha

Magic Bongo, chaneli 160.