Ray amshikia Abby bastola, Roy azidi kuwatia hofu – Huba I S14 I Ep 42–44 I Maisha Magic BongoKatika mlolongo wa matukio ya kushtua, Roy anaanza kuwa kitendawili — tabia zake zinawatatiza Tima na Chidy, wakijiuliza kama wanamjua tena. Wasiwasi wao unaongezeka huku Roy akizidi kujitenga na kuwa na mienendo ya ajabu.
Wakati huo huo, Ray anavuka mstari — anamteka Abby na kumshikia bastola, akimtaka aseme ukweli wote. Je, Abby atavumilia presha hiyo? Na Roy… je, kuna jambo kubwa analoficha?
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ