channel logo dark
Yalaiti HDtv 1920x1080
channel logo dark

Yalaiti

160Drama16

Raheem aleta vurugu kila sehemu – Karma

Video16 Septemba

Madam Veronica afumwa tena na Raheem ajua kama George na Nancy wanaishi pamoja. Wakati ofisini, Raheem adai kwamba Dr Desire anaendelea kujuza mwili.