Main
Lorenzo na Raheem wakutana – Karma
Video
08 Decemba
Chima amfukuza mchumba wake Lorenzo. Misa anawasiwasi na vipimo vya ultrasound na Nama amsikia. Desire amuacha Lorenzo kwa Raheem.
Jisajili kuangalia
Up Next
Nani atalipa deni? – Nyavu
04 Decemba
Kibibi amerudi – Huba
03 Decemba
Misa anataka kutoa mimba – Karma
01 Decemba
Mzee Kasongo afariki – Slay Queen
27 Novemba
Konde anataka kurudiana na Nandy – Huba
26 Novemba
Dr Desire agundua siri za familia yake – Karma
24 Novemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
"Mvua njoo, katarina usije!" – Kitimtim
Masantula ambeba Zuu nyumbani lakini huko wakutana na Pili na Zunde. Pia Masantula atokea kuwaonya wakina mama Pili na kuwambia wamuombe msamaha Masantula na Zunde azimia baada ya kumuona Pili mara nne.
Video
Nicole yupo wapi?– Huba
Doris akataa chakula kota kwa Roy wakati majambazi wateka Sidi na Kashaulo kumtafuta Nicole. Tima apigwa tena na Jude, na Nandy na Doris wakutana nje.
Video
Ulikuwa unanitumia? - Danga
Mo na Angel wakutana na rafiki yake Angel. Pipi amfuatilia Don ju ya wizi wa ndovu ili wanuibie. Hatimaye Pipi agundua kwamba mchumba wake alikuwa anamtumia.
Video
Jude kazidi!– Huba
Tima na Kibibi wakutana hospitalini wakati Angel amelazwa. Jude ampiga tena Tima juu ya kwenda kazini. Hatimaye Doris amfukuza mama yake.