Shaka Ilembe ni tamthilia ya kihistoria inayosimulia maisha ya Shaka Zulu, ufalme wa Zulu na urithi wa Afrika, ikionyeshwa kwa Kiswahili kwenye Maisha Magic Bongo
S1 | E3
24 Januari 22:00
'S1/E3 of 12'. Simulizi la Mfalme mashuhuri Africa, Malkia Nandi anafanikiwa kuuteka moyo wa mtoto wa mfalme Senzangakho...