Logo
Sarafu
channel logo dark

Sarafu

160DramaPG13
Sarafu

Marafiki wawili Mzee Sanga na Mzee Samwel, wanajikuta katika msitu wa misukosuko ya kibiashara na tamaa za pesa, kila mmoja akijaribu kumteketeza mwenzake. wanatengeneza mfumo wa mahusiano unaokua silaha ya hatari sana kati ya familia zao.

S1 | E26
04 Januari 21:40
'S1/E26'. Damian anafanikiwa. Jamila na Ibra waanza maisha mapya.Maua kachanganyikiwa. zinduna ataka kujinyonga. Chuma a...
Poll Question MMBongo
VIPUSA WETU HAPA MAISHA MAGIC BONGO

Dada yupi kati ya Jackie Sanga (#MMBSarafu), Mrs. Brown (#MMBKapuni) na Urmi (#DoliTZ) anayefaa kuwa mpenzi wako siku ya Valentines?

Jackie Sanga - #MMSarafu11%
Mrs. Brown - #MMBKapuni4%
Urmi - #DOLITZ84%