Rebecca
160
Drama
PG13
Main
Video
Video zote
Video
Tunu agombana na Remi – Pazia S6
Regina anawasiwasi na Miriam Makeba, Edu akana mizimu. Gloria ataka kujua kwanini Fred hamtafuti na Tunu agombana na Remi na aishia kukamatwa. Odemba adai pesa fake kwa Bidu au Bidu awe kijakazi wake.
Video
Thomas aomba radhi kwa Frank – Jua Kali
Thomas amuomba Radhi Frank melee ya Maria akita anamwambia kuhusu yeye. Mama Michael na Mary wagombana tena na Felix atoa ukweli kuhusu Maria. Mama Suzy amfukuza mchumba wake Suzi
Video
Harusi ya Devi na Nelly–Huba
JB amwambia Devi kwamba furaha ya Nelly inakuja kabla ya furaha ya mtu yoyote mwingine. Kashaulo aingilia harusi ya Nelly na Devi. Devi agombana na mama yake. Nandy arid nyumbani kumkuta Doris.
Video
Changamoto zazidi – Pazia S6 Ep25-27
Miriam amuonya Lolita na waishia kupambana. Eliza bado yupo chini, wakati Waridi ana maswali kwa Edu. Gloria aja kumtembelea mama yate na Fred aja kwa Chamsia.
Onyesha Zaidi
4 ya 753