Jua Kali tunavuka boda!Tamthilia ya Juakali kwa muda sasa imekuwa ikileta vionjo vya tofauti tofauti kwa Watazamaji, tumepata fursa ya kupata vionjo kutoka wkwa wasanii mbali mbali ndani na nje yan chi ikiwemo wasanii kutoka Ghana , Afrika Kusini na Kenya.