Logo
Small billboard rebeca
channel logo dark

Rebeca

160DramaPG13

Daniel kafanywa bwege – Rebeca

Video
04 Decemba

Baada ya yale makasheshe ya wiki iliyopita, Sakina anazidi kudanganya huku nia yake haswa ikiwa haieleweki ni nini, Ussy bado anatapaa. Wazazi wa Daniel wanabaki mdomo wazi baada ya kukuta mwanao kafanywa bwege. Simanzi linatawala nyumbani kwa kina Daniel, Albert katoka hosipitali na fahamu bado hazijarudi, je Caren atavumilia haya mbaka lini?