Logo
pazia, slim billboard, web uni
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia16

Mdoe ataka kuoa tena! – Pazia

Video
08 Februari

Fred aomba kuongea na Gloria, na Gloria adhani kwamba anampango wa kumrudisha kwa baba yake. Edu aanza kupoteza akili wakati Chamsia asema kwamba ana mpenda Fred. Waridi agombana na Regina wakati Bidu amwambia Tunu kwamba anatumia pesa nyingi. Mdoe aapa kumuoa Chamsia.