Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Bobo atuma barua kwa Anna– Jua Kali
Video
05 Februari
Bobo atuma barua Tanzania kwa Anna. Auntie Zai aenda kuongea na Mrs Bill. Kuhusu kikao kitakachotokea. Emma amuonya Eva kuhusu kazi yake. Hatimaye Anna akutana na mama Diba.
Stream on Showmax
Up Next
Kashaulo yupo wapi? – Huba
27 Januari
Gloria aanzisha matatizo mapya! – Pazia
11 Januari
Baba Juma ana hasira na Zunde– Kitimtim
03 Januari
Siri zazidi! – Huba
30 Decemba
Mastaa wakubwa ndani ya 2022 - Maisha Magic Bongo #MazuriYa2022
22 Decemba
Nozo atoroka– Mwali
18 Decemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Harusi tunazo? – Jua Kali
Frank amwambia baba yake kwamba hataki kumuudhurisha ndani ya maamuzi. Semini na mama yake waned kwa Sophia. Anna Rupo tayari kuolewa na Diba na Femi na Luka wake tayari kuingia mwenye ndoa wakati Luka bado anamaswali.
Video
Professa Bill hataki kusikia kuhusu ndoa ya Anna – Jua Kali
Mama Diba na mjomba wake wadai mdogo wake Diba kuwapikia wakati Professa Bill hataki kusikia kuhusu ndoa ya Diba.
Video
Wake wenza– Jua Kali
Tuma arid kwa bibi yake, Madam Simba aweka masharti nyumbani kwa wafanyakazi. Sophia aandelea kuvumilia uke wenza. Diba amsubiri Anna iliapate majibu na Luka aweka mipaka nyumbani.
Video
Femi apata mgeni – Jua Kali
Linda amwambia Duke kama Bobo bado anampenda Anna. Toby ampiga dada take baada ya Sophia kugomba kumuoa Iddy. Zai amwambia Bill amuheshimu kama mama yake na Bill aishia kumpiga na hatimaye Stela arudi. Na Femi opata mgeni.