Pazia
160
Tamthilia
PG13
Main
VIDEO
HABARI
Regina ndiyo MD mpya wa kampuni – Pazia
Video
08 Machi
Miriam amfokea mjukuu wake juu ya kuitwa shuleni wakati Mdoe agundua kwamba Regina ndiye MD mpya wa kampuni. Regina ampa Miriam pesa za Premiere Fest.
Stream on Showmax
Up Next
Frank awatembelea Michael na Mary – Jua Kali
05 Machi
Pili yupo tayari kulipa madeni Kitimtim
01 Machi
Nelly afukuzwa – Huba
24 Februari
Waridi na Kitua – Harusi Yetu
21 Februari
Mdoe ataka kuoa tena! – Pazia
08 Februari
Bobo atuma barua kwa Anna– Jua Kali
05 Februari
Maudhui Yanayohusiana
Video
“Kutana na mlima!” – Dosari
Mwanzo wa tamthilia mpya inayoitwa Dosari ndani ya Maisha Magic Bongo.
Video
“Three in one” – Pazia S6 Ep19-21
Eliza amwambia Lolita kuhusu mahusiano mengine ya Henry. Henry agenda kwamba nyumba yake iliuzwa. Chamsia asema kwamba Regina ndio mwizi wa pesa ya kampuni.
Video
Regina aokoa kampuni – Pazia S6 Ep22-24
Edu ataka kutoka kwa mashetani lakini Regina bado adai pesa. Bidu aja mudai pesa zake kwa Mdudu akifikiria ni Henry. Tunu amshawishi Mdoe.
Video
Jude atiwa jela tena! - Huba
Jude awekwa jela baada ya kukamatwa na Bibi afanya mpango wa meneja mpya.