Logo
Mengine Zaidi
channel logo dark

Pazia

160TamthiliaPG13

Kwanini Da Zuu ni bibi harusi kichaa - Kitimtim

Habari
20 Julai 2021
Da Zuu yuko tayari kuolewa na anamahitaji kadha
Screenshot 2021 07 29 at 00

Baada ya kukaa Pamoja kwa miaka mingi, hatimaye Da Zuu anataka Masantula amuoe kihalali. Hapo chini kuna baadhi ya vitu ambavyo Da Zuu amekuwa kifanya kabla ya harusi yake.

 

  1. Kumwambia kila mtu kwamba anaolewa kabla ya kumwabia Masantula

Da Zuu amekuwa akiwa anamwambia kila mtu kwamba Masantula nay eye wana mpango wa kufunga ndoa kabla ya kumwambia Masantula mwenyewe.

 

  1. Anadai kwamba Masantula amlipie mahari ya kiasi cha million moja na nusu.

Kabla Masantula hajaamua kumuoa alikuwa amshaweka ni kiasi gani anataka Masantula amlipie kwenye mahari.

 

  1. Awambia watu ni kiasi gani cha mchango anataka

Baada ya kuwambia watu kwamba yeye na Masantula wanampango wa kufunga ndoa, alitoa masharti ni kiasi gani watu achangie.

 

  1. Ameshaanza kujifanya kama ameshaolewa.

Baada ya kuamua kwamba yeye na Masantula watafunga ndoa, Da Zuu alianza kutembea kama tayari harusi imefika.

Zidi kufuatilia mahusiano ya Masantula na Da Zuu kila Jumatatu na Jumanne saa 3:30 ndani ya Maisha Magic Bongo.