Pazia
160
Tamthilia
13
Main
VIDEO
HABARI
Ndoa ya magumashi – Pazia
Video
03 Agosti
Eliza apokea barua ya talaka toka kwa Henry na Miriam amuomba Mdoe wafunge ndoa ya magumashi ili kumfanya Henry awe na wivu. Gloria ampa Henry pesa ya kumlipa Eliza na Regina anataka kujua Regina alitoa wapi pesa.
Stream on Showmax
Up Next
Bibi karudi! – Kitimtim
02 Agosti
Hati za talaka zimetiwa saini– Pazia
27 Julai
"Mvua njoo, katarina usije!" – Kitimtim
26 Julai
Zuwena hataki majaribu!– Yalaiti
22 Julai
Fabrizio akamatwa– Huba
22 Julai
Naira akata nywele!– Jua Kali
17 Julai
Maudhui Yanayohusiana
Video
Ndoa ya Anna na Diba - Jua Kali
Thomas aja kwa Maria kumuuliza anachotaka baada ya kugundua ukweli. Diba na Anna wafunga ndoa
Video
Eva ana ukimwi - Jua Kali
Bill amwambia Frank kwamba Eva ana virusi vya ukimwi na ndoa ya Anna na Diba yaanza.
Video
Dida akataa ndoa ya Yaz na Azra– Chanda
Dida akataa Azra kuolewa na Yaz wakati, Babaz anawasiwasi na Mishi.
Video
“Naomi nakupenda!” – Nuru
Ronald aomboleza ndoa yake baada ya kukataa kutoa talaka. Baba Naomi amleta Juliana nyumbani na Adrian amwambia Naomi kwamba anampenda.