Logo
MMB PaziaSM TwitterCover
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia13

Kutana na waigizaji wa #PaziaTZ

Habari
26 Januari 2021
Msimu wa kwanza wa Pazia ni mkali sana na kutana waigizaji wa tamthilia hii.
20210126 123120

Regina

Mtoto wa Mariam na Henry, stori inaanza na Regina kutoka na marafiki zake na kupotea.

Mariam

Mama yake na Regina na pia ni mke wa kwanza wa Henry, lakini wameachana kwa miaka 10 sasa.

Henry

Baba yake na Regina na pia ni mume wake wa kwanza na Mariam. Kabla ya Mariam alikuwa na mahusiano na Eliza.

Eliza

Mama yake na Gloria na pia, alishawahi kuwa na mahusiano na Henry kabla yay eye kumuoa Mariam.

Gloria

Mtoto wake Eliza na pia ni Rafiki yake Regina.

Fred

Yuko kwenye kundi ya marafiki wa Regina, anampenda Regna lakini Regina hamtaki.

Jemo

Yuko kwenye kundi ya marafiki wa Regina, anampenda Regna wakati Gloria anampenda yeye.

Edu

Rafiki yake wa karibu wa Gloria, anampenda sana Gloria lakini Gloria anamtaka Jemo.

Tunu

Mke wake na Bidu, anakisa na Bidu akidhani kwamba Bidu anatembea na wanawake wengine.

Bidu

Msamalia mwema aliyemuokota Regina lakini mke wake Tunu amemuweka jela akifikiri Regina mchepuko wake.

Dr Love

Daktari na rafikiri yake Fred na pia ndiye aliyembaka Regina.

 

Kumbuka kwamba #PaziaTZ iko hewani kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1:30 usiku na marudio kila Jumapili saa saba mchana.